Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
Mi hata siikumbuki,
maana ziko nyingi.
Ila kuna siku kuna mtu aliandika kiajabu sana.
Sijui alikuwa hajui kuandika?
Yaani kwenye thread yake niliambulia maneno mawili tu draft na mpira basi.[/QUOTE]
hahahaha Bujibuji umenifanya niangue kicheko
kwanini?Mi hata siikumbuki,
maana ziko nyingi.
Ila kuna siku kuna mtu aliandika kiajabu sana.
Sijui alikuwa hajui kuandika?
Yaani kwenye thread yake niliambulia maneno mawili tu draft na mpira basi.[/QUOTE]
hahahaha Bujibuji umenifanya niangue kicheko
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/36823-sms-na-majibu-yanayokera.html
Hii ndiyo thread iliyonichekesha mpaka yaani nakumbukia nikiwa home bado nacheka!!!!!mmm ati tshirt inanibana!
sijui nibadilishe mawazo... hii kali balaa