Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Ubora wa elimu yako ni kile ulichosoma na kukielewa mwisho kukitendea kazi.
we umesoma afu uko unadhurura na vyeti maofisi ya watu miaka nenda miaka rudi leo hii mnamtusi kijana aliyeishia darasa la saba 🤔
Mtu kuishia darasa la saba/form 4 sio kwamba akuwa vizuri kiuelewa hapa zipo changamoto zinazofanya watu wasiendelee na shule, ila huyo huyo unayemchukulia poa ukicheki ndo aliyekupa ajira leo hii bado unaropoka upuuzi.
Asilimia kubwa ya wazazi wetu wote la saba/ darasa la 4 sasa wew umepata degree unajikuta mwamba kumbe zero. Umesoma afu bado umeajiliwa umesoma nini sasa.... upo bize mitandao huna hata mia mfukoni kutwa kupiga viziga wazazi wako na kaka zako darasa la saba. Fanya kazi huwezi kula vyeti vyako.
Muache dharau wasomi... wamchongo....
Umesoma afu hakuna ulichokifanya sa umesoma nini . Na wapongeza Waliogundua mtandao huu hawa ndo wasomi wenye faida nyie wengine majungu tu.