Thread maalum kukumbushana michezo ya utotoni iliyosahaulika

Kama nakuona bro.
 
Hapo miye kila wiki nilikuwa baba harusi kisa tu na kaunda suti kama nne hivi do nikawa nafanana na baba harusi so kila mchezo wa kibaba tunaanza na harusi mwamba nakuwa baba harusi haa haaa mke wangu ANITA upo wapi njoo tuyajenge maisha
 
Hapo miye kila wiki nilikuwa baba harusi kisa tu na kaunda suti kama nne hivi do nikawa nafanana na baba harusi so kila mchezo wa kibaba tunaanza na harusi mwamba nakuwa baba harusi haa haaa mke wangu ANITA upo wapi njoo tuyajenge maisha
Hahaaaaa, tumetoka mbali sana.
 
Kaka angu ni fundi wa Huu mchezo balaa, alikua anacheza had wenzake wanakereka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeucheza sanaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe mtoto wa uswazi, hii michezo ukienda uswazi bado ipo inachezwa kwwni inaitaji muwe watoto wengi ambao hamfungiwi ndani yani mpo oya oya, so kama umecheza hii lazima uwe mtoto wa uswazi uzuri wa hii michezo huwezi kukuta kijana kawa shoga
Mawazo yako yanawaza ushoga tyuuh, na ulichojaza moyoni.
Bas wako mashoga kibao wamecheza kombolela na zaidi ya hiyo.
 
Nyanga unamaanisha gololi. Sisi tulikuwa tunazifinyanga/sokota kisha tunazianika juani then ndio tunazitumia kuwindia ndege.
Ndio hizohizo,tulikua tunachimba udongo then tunafinyanga,kwa lugha ya uswazi tulikua tunaita mbwewe.
 
Dah, umeifanya siku yangu iwe Murray kabisa bro. One touch, wacha weeeee. Dah, tumetoka mbali sana.
🤣🤣🤣Hv kumbe ni one touch tulikua tunakosea tunatamka "wen taji", sisi tulikua tunaita gusa na kuacha bn ngeli zero
 
Hahaha... Play station 1 mpaka 5, Nintendo, Xbox...
Hii PlayStation nakumbuka miaka hyo tukitoka school Mikocheni primary tunaingia nyumbani kwa rafiki yetu mmoja wa kishua hapo Victoria. Anatuachia tunacheza na wengine wanacheza basket nje..yeye anaenda kupiga tuition kwa mwalimu kitabu makumbusho. Enzi hizo ukifaulu umefaulu kweli...kwakwel ni yeye tu alifaulu akaenda Benjamini mkapa.

Ukirudi home unaonekana ulikuwa school unapiga book kumbe ulikuwa kwakina Billy.

Nimefungua code..kuna mwenzangu humu wa mikocheni ?
 
wakati niko primary kucheza gololi na kujipikilisha ndiyo vilikuwa kwenye chat.

Funzo
1. Gololi, concentration
2. Kujipikilisha, waliokuwa serious ndo machef hao 😁
Hii ya kujipikilisha mbona ipo mpaka sasa na itaendelea kuwepo? Watoto wa kike karibu wote huwa wanapitilia huu mchezo. Tena sasa hivi dukani kuna vyombo vya kitoto vya kujipikilisha na ni duniani kote. Wanaume wao zaidi wanachezea toys za magari nk
 
Kwangu misamiati mipya hio🤠🤠!

Sema zama hizi watoto hawana michezo kabisa..hasa wa uswahilini
Mkuu una uhakika? Nadhani ni kwa sababu hauko kwenye circles zao hivyo huwezi kujua kila kitu. Ila nakubaliana na wewe kuwa watu hawaachii tena watoto kuzurura hovyo ila watoto dunaniani kote wanacheza michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…