Hy game umeweza kuichek kiongoz?Weka na direct link za movies mkuu. Thanks.
ya kuangalia mpira liveApp ipi kk?
Mv Jr
Hii siyo app kiongoz ni site ambayo inaweka link tu ila ukiwa na PUFFIN BROWSER unaweza kuchek kupitia hizo link zinazowekwa hapa.ya kuangalia mpira live
Ok n nzuri but huwez angalia game nying kama kwenye hii site
Karib kk hapa unaomba link ya mechi yoyote inawekwa.Huu uzi ni mzur sana
Aisee33eeHii siyo app kiongoz ni site ambayo inaweka link tu ila ukiwa na PUFFIN BROWSER unaweza kuchek kupitia hizo link zinazowekwa hapa.
Mv Jr
Yaaa ingia play store search puffin browser then install utachek game hizi live.Puffin browser?
Sent by Nokia E5 using Jamii Forums mobile app