Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Habari zenu wapendwa?

Nilikuwa nauliza ukiachana na application ya *MOBDRO* Je Ni application gan nyingine naweza kuangalia mpira kwenye simu yangu?


Cc: CHIEF MKWAWA

First they ignore you, Then they laugh at you, Then they fight you, last you win.
 
Reactions: GER
Poa ila hii ya leo itabidi uwe na PUFFIN BROWSER coz haiwez onekana kupitia CHROME.
so install hy PUFFIN BROWSER muda ukifika link itawekwa..
Hainaa noma kaka...puffin nnayo tyt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…