Wakuu kutokana na mambo mengi hapa town, napendekeza tuwe na group la whatsapp la hizi Link, kwenye hili grouo nitakua na maadmin ambao nitawaonesha jinsi ya kupata hizi link, Naomba na whatsapp inakua rahisi kutuma link kuliko hapa, japo sitaacha kutuma hapa,
Kwahio wanaopenda kupewa link tuache namba hapa au nitupieni PM tutengeneze group