Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Pitia google search atdhe kisha fuata link iliyoandikwa atdhe.net

Nimesema pitia google kwa sababu hiyo link ukiandika kama ilivyo itakuletea kitu tofauti. Humo utaweza kuangalia games zote from soccer, basketball to a.football bure
 
Wadau link gani nzuri ya kuangalia mechi za mpira online katika simu(android) kwa kutumia browse kama chrome au opera mini n.k
 
Ingia web inaitwa feed2all utakuta mechi zote za hiyo siku
 
Wadau link gani nzuri ya kuangalia mechi za mpira online katika simu(android) kwa kutumia browse kama chrome au operamini n.k

tembelea goATDee.Net - Watch Free Live Sports TV utaona mpira bila zengwe. cha muhimu ni internet ya kueleweka. Jumamosi na Jumapili baada ya mechi za Premier League kuanzia saa sita na dakika ishirini kuna kipindi match of the day ambapo utaona highlights za mechi zote za Premier League na baada ya hapo ni za Championship hapohapo direct au kupitia BBC ONE. hapa goATDee.Net - Watch Free Live Sports TV ni mechi za ligi zote kubwa za Ulaya. kazi kwako
 

wamekumeng'enyeea kila kitu , sasa ushindwe wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…