Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

huu mwaka wa 3 sasa banda umiza hawanioni. Nasikia tu wanalalamika gharama za dstv kupaa. 300mb unacheki game mwanzo mwisho na ku browse vitu vingine kdg.

mbona mm mb zinakimbia sana? Natumia tecno s3. Tatizo wapi kuuu?
 
mbona mm mb zinakimbia sana? Natumia tecno s3. Tatizo wapi kuuu?
Huwa natumia kwenye laptop. Inategemea na quality, kama quality ni HD (au ipo clear sana) hapo bundle lzm iishe faster.
 
Jaman msaada mwenzenu app nzuri ya kuchekia mipira isiyo gandaganda.kwan leo tv yangu imeungua na kuna gemu za uefa.natanguliza shukran kwenu.achana na mobdro app
 
jaman msaada mwenzenu app nzuri ya kuchekia mipira isiyo gandaganda.kwan leo tv yangu imeungua na kuna gemu za uefa.natanguliza shukran kwenu.achana na mobdro app
wote nitafuteni kwa 0762660643
 
Wadau naomba kupatiwa link ya kuangalia mpira wa miguu kwenye simu natumia Tecno J7, naamini humu kuna watalaam wengi na nitapata msaada
 
Mimi nilijaribu kuangalia mechi kwenye simu yangu wala haikudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…