Thread maalum ya watumiaji wa Pikipiki ya TVS

Thread maalum ya watumiaji wa Pikipiki ya TVS

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Tukutane hapa ,
Kwa mawazo,
Changamoto
Michongo n.k
 
Tvs 125 cc ni nzuri kuliko boxer Bajaj kwenye personal transportation kwa maeneo ya mijini.

Kwa vijijini bapo mchina ndio bora
 
Hv mpira wa mbele TVs sh ngap
 
Hivi wakala wa TVS Tanzania naweza ongea nae akaniletea hii TVS Apache RR 310? Au ndio ana deal na izo 150cc tu?

1280px-Apacherr310c.jpg
 
Tatizo la pikipiki kupiga kelele unapo washa taa kubwa ya mbele kinasababishwa na nni
 
Kiuhalisia Hili dude ni gumu,mi nalitumia kwa shughuli za shamba kuanzia 2018 Hadi Leo linadai,vifaa vyake ni kweli ni ghali ila huwezi badilisha mara nyingi kama mchina
 
Back
Top Bottom