Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Habari Ndugu nimeona si vibaya tukawa na thread ya ndoto tunazoota kila siku yaweza kutusaidia kutunza record ya ndoto na kupeana maana ya ndoto tunazoziota.
Binafsi usiku wa kuamkia juzi niliota nafanya mapenzi na boss wangu ambaye ni sista ilikua sura yake ila katika umbo la mpenzi wangu niliyeachana naye juzi kwa mbide vita Kali vitisho na laana kibao.
Usiku wa kuamkia Jana nimeota nacheza mpira na timu ya wanafunzi wangu dhidi ya chuo kingine nikacheza vizuri nikafanikiwa kufunga magoal matatu mpaka wale wapinzani wetu wakakimbia uwanja.
Badae nkasajiliwa Chelsea tukacheza na Barcelona nkafanikiwa kufunga goal moja la ushindi.