Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania.
Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za timu nyingine haziandikwi humu.
Tuanze na leo ambapo kulikuwa na mechi kati ya Coastal Union ya Tanga dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya.
Mchezo huo umemalizika Kwa Costal Union kushinda 2-1.