Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tengeneza special thread kwa ajali ya NBC premier League makolo kolo yote yawekwe humoNimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania.
Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za timu nyingine haziandikwi humu.
Tuanze na leo ambapo kulikuwa na mechi kati ya Coastal Union ya Tanga dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya.
Mchezo huo umemalizika Kwa Costal Union kushinda 2-1.
Kabisa. Bila hela za kuhonga habari za timu hazitolewi. Inawezekanaje nchi nzima timu "zinazochambuliwa" ni mbili tu.Hilo ni tatizo sugu kuanzia kwenye media tangu kuanzishwe hizi redio za mchongo na wachambuzi wa mchongo waandishi wa habari wa mchongo hizo timu zisizotoa vocha hazirushwi habari zao mfano mzuri coastal union ni timu kongwe na maarufu huu ukanda wa pwani na kusini yake!
Duh... Wajelajela wamepigwa!!!Nimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania.
Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za timu nyingine haziandikwi humu.
Tuanze na leo ambapo kulikuwa na mechi kati ya Coastal Union ya Tanga dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya.
Mchezo huo umemalizika Kwa Costal Union kushinda 2-1.
Sijui kwanini hunaga akiliUmewaza kitu kizuri sana. Hata zile mechi za Utopolo wanazozikimbia unaweza kutupwa kule
SIMBASC na YangaSC ni kioo cha soka kwenye hii nchi. Hizi redio na wachambuzi wa mchongo wanajua fika bila kuzijadili Simba na Yanga hakuna mtu atafuatilia redio zao. Mtu anavumilia kusikiliza matangazo kumi ya biashara ili tu kusikiliza Simba au Yanga kafanyaje, baada ya hapo anazima redio hana muda wa kufuatilia Ken gold au prison .Hilo ni tatizo sugu kuanzia kwenye media tangu kuanzishwe hizi redio za mchongo na wachambuzi wa mchongo waandishi wa habari wa mchongo hizo timu zisizotoa vocha hazirushwi habari zao mfano mzuri coastal union ni timu kongwe na maarufu huu ukanda wa pwani na kusini yake!
Watu wa mchongo!SIMBASC na YangaSC ni kioo cha soka kwenye hii nchi. Hizi redio na wachambuzi wa mchongo wanajua fika bila kuzijadili Simba na Yanga hakuna mtu atafuatilia redio zao. Mtu anavumilia kusikiliza matangazo kumi ya biashara ili tu kusikiliza Simba au Yanga kafanyaje, baada ya hapo anazima redio hana muda wa kufuatilia Ken gold au prison .
Na utopolo wote wa timu umwagiwe humo...Tengeneza special thread kwa ajali ya NBC premier League makolo kolo yote yawekwe humo
Tangu tuwapige ✊ akili zenu zisha yumbaNa utopolo wote wa timu umwagiwe humo...
Sio sahihi kadiri unavyokitangaza kitu ndipo hadhira inakizoea maana hapo nyuma radio ilikuwa inavipindi rukuki vya kijamii kiuchumi na biashara na matangàzo yakllikuwepo shida ujinga wa hizo timu kupewa airtime kupita kiasi ndio unaharibu kila kituSIMBASC na YangaSC ni kioo cha soka kwenye hii nchi. Hizi redio na wachambuzi wa mchongo wanajua fika bila kuzijadili Simba na Yanga hakuna mtu atafuatilia redio zao. Mtu anavumilia kusikiliza matangazo kumi ya biashara ili tu kusikiliza Simba au Yanga kafanyaje, baada ya hapo anazima redio hana muda wa kufuatilia Ken gold au prison .
Iko hot Sana ,naiombea timu yangu ya Tanzania prisons washindeKuna gemu Kati ya Tanzania Prisons na Kagera sugar.
Dakika ya 35.
Matokeo 0-0
Kagera nao wapo fit.Iko hot Sana ,naiombea timu yangu ya Tanzania prisons washinde
Wapo fit Ila naona kama hamsini hamsini yaani Kama draw inanukia .Kagera nao wapo fit.
Matangazo yanakatikatika.