Thread: Mechi za timu zisizo maarufu Ligi Kuu Tanzania

JKT Tanzania 4 Igunga united 0.

Kumbe la shirikisho TFF

Dakika 31 kipindi cha kwanza.
 
Reactions: K11
Igunga United yajipatia goli la kwanza dakika ya 57.

JKT Tanzania 4-1 Igunga United.
 
Reactions: K11
Ruben Lyanga anaipatia JKT Tanzania bao la tano. dakika ya 69.

JKT Tanzania 5 - 1 Igunga United.
 
Reactions: K11
Leo ni mechi kati ya KMC dhidi ya Black Six kutoka Buguruni Jiji Dar.

Mashindano ya Kombe la CRDB shirikisho.

Uwanja: KMC Complex.
 
Dakika ya 2 Darwesh Saliboko anaipatia KMC goli la kuongoza.
 
Golikipa wa Black Six anatolewa nje kutokana na kutumia. Anaingia golikipa Omary Manjenje.

Hakuna Ambulance?
 
Dakika ya 23 KMC tayari Wana goli 3, Black six ya Buguruni 0.
 
Mapunziko

Azam Fc 2

Iringa Sports 0

Kocha wa Azam awakasirikia wachezaji wa Azam kukosa magoli.Mengi ya wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…