Nadhani wanacheki muda toka umejiunga jf pamoja na michango yako humu... Kigezo cha muda sioni kama ni tatizo kwako... Kuhusu michango yako utakuwa unajua wewe mwenyewe... Sidhani kama kuna jambo lingine wanaloliangalia sana... Mimi majuzi niliomba wakanikubalia... Wacheki mods au kusave muda mcheki boss.