Thread ya AC Milan kutua JF hivi punde...


Hiyo ikawasaidia kushinda mechi na kuchukua ubingwa bila Redondo Manywele?
 
Alesandro Del Pierro ama Alexander Peter ni Mungu mtu hapo Torino.
Umaarufu wake ni zaidi ya ule wa Hayati bibi Lavecchia Signorra.
So kama atatuwa Milanelo itakuwa ni rrrraha isiyo kifani.
Yaani itakuwa sawa na asali kumwagikia kwenye ftari.

The Real Phenomenon!The Real Pinnturicchio!Del P ni silaha nayojivunia Juventus....nawakubali Milan kwa hizi sera zenu za kunyakua vipenzi vya mashabiki kwani kumnasa huyu fundi ni kuteka mashabiki kama si wafusai wake lukuki ambao wapo tayari kwenda naye kokote atapotua....forza juve,forza capitano del piero!
 
count down has began...
Soon thread itakuwa hewani waungwana
 
Yaani unaweka thread kutujulisha ujio wa thread!!? Kwa nini hii isiwe ndo thread yenyewe ya AC Milan hadi utuarifu kwamba itakuja? Kwa nini usingejiandaa ndo uje, au unaweka ukiritimba isianzishwe na mwingine zaidi yako? Sijaelewa!
 
Yaani unaweka thread kutujulisha ujio wa thread!!? Kwa nini hii isiwe ndo thread yenyewe ya AC Milan hadi utuarifu kwamba itakuja? Kwa nini usingejiandaa ndo uje, au unaweka ukiritimba isianzishwe na mwingine zaidi yako? Sijaelewa!

Hili ni tone la maji sheikh, ila bahari yaja
 
Gang historia haiweza kukamilika bila kugusia enzi za AC Milan's Dutch Contingent vs Inter Milan's German Contingent - pungufu ya hapo ni uchakachuaji tu wa historia ya San Siro!
 

heh heh heh hv mlivyochapwa 4-0 ulijisikiaje?
 
"When people think of Italy, after the mafia and pizza, they think of AC Milan"
 
pumba tupu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hii club ilishaishiwa power... πŸ˜€πŸ˜€,mshabiki wake ni gang chomba peke yake...gang nakushauri hamia juve au napoli na uanzishe thread utapata ma-fans wakumwaga, Au kama vipi njoo kwetu BARCA
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…