zantel wapo poa sana halafu ukiwapigia hausubiri hata dakika tatu unakuwa ushaunganishwa. hamieni ZANTEL.nina mwezi wa pili sasa ivi niko zantel
Tehe tehe tehe ODM bana, lakini taarifa hii ya togo kupandisha gharama kinyemela itawacost tu.Mi sitahama huu mtandao, kwakuwa huu sasa ni mwezi wa sita simu yangu ni kama redio tu, inapokea simu tu!
Zantel kama umeusahau jina.Mie natafuta ule mtandao wa WAPEMBA, hawaibi wale
hata voda nao wamepandisha bei hadi sh 2.6/sec tena bila kuwaarifu wateja.kwanini mnatumia tigo? Hata siwaelewi kwaheri