Thread ya tetesi za usajili TPL

yanga wapo mbioni kumsajiri zana coulibary kwa ajiri ya mashindano ya kimataifa maana imeonekana boxer hana uzoefu wa mashindano hayo
Zana angefaa aende yanga maana simba kashakuwa mzigo asnteni yanga kama mtalifanikisha hilo
 
John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu yetu. Bocco ambaye alikuwa mchezaji bora wa Simba na Ligi Kuu kwa msimu wa 2017/18 na Mshambuliaji Bora kwa msimu wa 2018/19 amefunga jumla ya mabao 30 ya Ligi katika misimu miwili
 
Zana angefaa aende yanga maana simba kashakuwa mzigo asnteni yanga kama mtalifanikisha hilo
Bakini na mcheza shoo wenu, kwetu si maahala pa mareject. Hakuna mchezaji wa Simba atapata sajiliwa kwetu. Kwanza wachezaji wenu wote vibabu
 
Yanga ipo mbioni kumsajili mzee Kilomoni na Simba ipo mbioni kumsajili mzee Akilimali
 
Bakini na mcheza shoo wenu, kwetu si maahala pa mareject. Hakuna mchezaji wa Simba atapata sajiliwa kwetu. Kwanza wachezaji wenu wote vibabu
Vibabu ndo wanaoongoza kuoa vijana😂
 
Vizuri sana
 
Mnaleta shobo sasa hivi Zahera akimkubali tu wote mtaanza kumsifu
Bakini na mcheza shoo wenu, kwetu si maahala pa mareject. Hakuna mchezaji wa Simba atapata sajiliwa kwetu. Kwanza wachezaji wenu wote vibabu
 
Mkuu Mo kashasema kuanzia kesho waliosajiiliwa taarifa zitaanza kutolewa kwa verified account za Simba Facebook na Instagram
Mo mshampatia Hati ili atoe hela ya usajili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…