Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,229 Reaction score 13,442 Mar 14, 2011 #41 CPU said: Bahati mbaya sina hayo magonjwa sugu wala si mzee . . . Click to expand... CPU hapo sijakuelewa sema BAHATI NZURI SINA HAYO MAGONJWA BANA hakuna bahati mbaya kwa jambo zuri
CPU said: Bahati mbaya sina hayo magonjwa sugu wala si mzee . . . Click to expand... CPU hapo sijakuelewa sema BAHATI NZURI SINA HAYO MAGONJWA BANA hakuna bahati mbaya kwa jambo zuri
Fanta Face Senior Member Joined Mar 10, 2011 Posts 138 Reaction score 21 Mar 14, 2011 #42 Nimepata taarifa kuwa ukienda huko masharti yake ni kutotenda dhambi tena, Ukinywa hiyo dawa no pombe tena, unakuwa kama umeokolewa fulani hivi. Haya kwa sie tunaokunywa safari tuzimalie kiu zetu mto wa mbu au karatu
Nimepata taarifa kuwa ukienda huko masharti yake ni kutotenda dhambi tena, Ukinywa hiyo dawa no pombe tena, unakuwa kama umeokolewa fulani hivi. Haya kwa sie tunaokunywa safari tuzimalie kiu zetu mto wa mbu au karatu