Thread za tcu na heslb sasa basi

Thread za tcu na heslb sasa basi

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
Habar wana jf ,yan tangu wamepga necta ni wao tu humu ndan page nzima imejaa tcu na heslb sasa mpumzke na sisi tuanze kutupia vtu vingne ni hayo tu..nawasilisha
 
is this far as you go? practically you didn't put your self in others shoes .am sure hujasoma wewe.
 
Wanaounga mkono waseme ndio wasioafiki waseme sio ,ndioooooooooooooOoooooooooooooooooooooooooooooooooooOooooooooo sioooooooooooooooo waliosema ndio wameshinda kwa hio tumesitisha na mambo ya mikopo na t c u.
 
Still you can go ahead and post what you fill...

Sidhani kama threads za tcu na heslb zinaweza kuziba hicho unachotaka kupost,unless upost utumbo....
 
nadhani ww ni mgeni humu jf mwenzi wa 8 na 9 thread nying huwa za tcu na heslb na huishia mwenzi wa 10 au hukulijua hili
 
kwel nimeamin aliyeshiba hamjal mwenye njaa,huyu jamaa c ndo yule alosema anaishukuru ccm kwa kumuongezea mkopo,af anasahau kwamba na yeye alikuwa akipata update zote muhim hapa,leo hii baada ya kujitosheleza anataka watu wacjadiliane kuhusu yanayowacbu,haya bana umeshiba sasa njaa ikikuuma urud jukwaan tena uwaulize kilipo chakula wanaokihangakia sahz
 
Back
Top Bottom