kwel nimeamin aliyeshiba hamjal mwenye njaa,huyu jamaa c ndo yule alosema anaishukuru ccm kwa kumuongezea mkopo,af anasahau kwamba na yeye alikuwa akipata update zote muhim hapa,leo hii baada ya kujitosheleza anataka watu wacjadiliane kuhusu yanayowacbu,haya bana umeshiba sasa njaa ikikuuma urud jukwaan tena uwaulize kilipo chakula wanaokihangakia sahz