Thread za Warumi zilizovuma Global Publisher

Ha hahhhahhha aiseeee basiiii sawaaaa hongeraaaaa

Yaani apa kila wakati naangalia gazeti kama siamini vile, Sijui najionaje , topic zangu zime make headline duh, kweli Jamii forum tumetishaaa , watuache miaka miaa...
 
hongera warumi inatia moyo sana kuona hadi shigongo anakukubali
 
ukistaajabu ya musa utayaona ya Jf.
mwanaume mzima unajisifia haya tena kwa lugha za taarabu? ninao
'wasiwasi' juu yako,nadhani ww pia ni 'walewale' na ndomaana unadata zao zote....

Yaani apa kila wakati
naangalia gazeti kama siamini vile, Sijui najionaje , topic zangu zime
make headline duh, kweli Jamii forum tumetishaaa , watuache miaka
miaa...
 
Hongera sana.....fursa hyo imetimba mlangoni sasa ni wew kuifungulia mlango ama kuiacha nje....
 
ukistaajabu ya musa utayaona ya Jf.
mwanaume mzima unajisifia haya tena kwa lugha za taarabu? ninao
'wasiwasi' juu yako,nadhani ww pia ni 'walewale' na ndomaana unadata zao zote....

sawa , ndo gharama ya umaarufu ninayopaswa kuilipa humu, haya yote ni matokeo ya umaarufu nilionao.
 
mkuu warumi ukichukuliwa na Shigongo husinisahau mdau wako wa ukweli hapa japo kushikilia na kufutafuta vumbi ktk kamera!!
 
Last edited by a moderator:
Awwww Congrats and big up binamu warumi hongera naona ujiwako una soko kubwa sikuizi, achana na hawa akina Matola wivu wakike ndo unawasumbua.
 
Last edited by a moderator:
Awwww Congrats and big up binamu warumi hongera naona ujiwako una soko kubwa sikuizi, achana na hawa akina Matola wivu wakike ndo unawasumbua.

Wajinga hao, nimeshawapotezea, ngoja niandae thread nyingine matata naona jukwaa limepoaa binamu. Ahsante binamu.
 
Last edited by a moderator:

Hata mimi nilibahatika kuuza habari yangu Mwananchi bwana,ilikuwaa kuhusu BLACK BOX ya kwenye ndege!

Thanks God,ilinifariji sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…