Thread za Warumi zilizovuma Global Publisher

Safi sana kaza buti Binamu.!
 
warumi uliombwa rasmi au kupitia uongozi wa JF habari yako itumike?

Unajua kuna waandishi wa makala maarufu humu JF ni lulu na michango yao huombwa na vyombo vingi vya habari?
Mtu akifumaniwa tu ni habari kwa GPL hivyo usijishushe mno dhamani yako kisa wamebeba tu habari yako.
Unaweza kufanya makubwa mno wewe fanya kazi utaona PM kibao za kuomba appointment za maana acha kujishusha kivile while unafanya vyema humu kuliko hata hao GPL.
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru kwa kunitia moyo bro, ila bado sijajua sheria zozote mkuu kuhusu hili suala, na wala hakuna mtu yeyote aliyenitaarifu kuhusu hyo habar kabla ya kuichapa, nilishangaa tu kukuta kile nilichokiandika humu ndicho walichokikopi kwenye gazeti lao la ijumaa wikienda la jumatatu ya wiki hii, wengine wanaweza kukunua na kucheki kama wakipenda. Sijui chochote kuhusu sheria yeyote labda unitoe tongo tongo mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Shukrani inabidi nifanye communication na Invisible ili nijue ananisaidiaje, maana natumia akili ya ziada kwa kweli kufanya kazi nzuri , halafu wengine waitumie kwa manufaa yao wenyewe bila kutoa jasho. Ahsante sana kwa upendo wako na kujali ninachokifanya.
 
Last edited by a moderator:

Upo very sharp! niliamua kufuta huo ushauri haraka sababu niliona inaweza kuzua vitu flani kwa member wengine hivyo niliona bora nijiridhishe kwanza kiutaratibu kwa Invisible kabla.

BTW nimeona mzee kachungulia na kugonga like! cheki nae.
 
Nani kachungulia mkuu? Ni ushauri gani ulio delete? Go on if u don't mind
 
Last edited by a moderator:
Upo very sharp! niliamua kufuta huo ushauri haraka sababu niliona inaweza kuzua vitu flani kwa member wengine hivyo niliona bora nijiridhishe kwanza kiutaratibu kwa Invisible kabla.

BTW nimeona mzee kachungulia na kugonga like! cheki nae.

Ahsante sana mkuu, naanza kuona matumaini mapya, umenifaa sana mkuu, nadhani hili suala limefika kwa uongozi na haki itatendeka. Dah ubarikiwe sana , salute you mkuu.:thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Naona nafasi ya MONEYstunna iko mashakani ila hongera zeni wote mnafanya kazi nzuri.
 
Last edited by a moderator:
wewe ni maarufu au mmbeya??

Huo huo umbea ndo umenipa umaarufu na ndio maana hata wewe umeacha kazi zako na kusoma umbea Wangu. Usiku mwema aiseeh kesho
 
Huo huo umbea ndo umenipa umaarufu na ndio maana hata wewe umeacha kazi zako na kusoma umbea Wangu. Usiku mwema aiseeh kesho

we ni **** kweli yani dume zima unalazimisha umaarufu badala ya kutafuta hela kwanza we ni maarufu wa wapi,,au unatafuta basha akuchape nao
 
we ni **** kweli yani dume zima unalazimisha umaarufu badala ya kutafuta hela kwanza we ni maarufu wa wapi,,au unatafuta basha akuchape nao

Hata hii ni kazi kwangu, japokuwa wewe unaona ni umbea, ipo siku nitaleta ushuhuda humu, bare that in your mind bro. Niache nilale nimechoka na quotes zako matumbo rudi tena kesho bro
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…