THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,194
Reaction score
13,426
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.
 
watu8 wanafunzi wakishashika pc wanatundika kila kinachokuja kichwani hapa! Hata wenzetu ambao washaotea mvi hapa nao? Hapana!

hahahah chalii yangu mie kama uzi siuelewi hapa CC huwa naupotezea, halafu uzuri mimi ni midfielder kisheti majukwaa yote nipo
 
Last edited by a moderator:
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.

Mhhhh.Napita tu hapa. Nilikuwa nawasalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…