THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

Nini kifanyike ili kupunguza huo upuuuzi na utoto?
punguzeni utoto,ujinga ujinga....sio jukwaa la salamu hili mbwiga nyie....tafuteni mambo ya kufanya someni vitabu ongezeni bongo zenu akili....kama huna kazi soma hata daily news sio kuja kuandika upuuuzi upuuzi na kutumiana salamu mazumbukuku nyie....
 
Teh teh.. mambo vipi mbwiga ,zumbukuku Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:

Hata wewe ni mbwiga ndio maana upo huku.. Ingekuwa wewe sio mbwiga usingepata muda wa kubishana na le mutuz
 
Hata wewe ni mbwiga ndio maana upo huku.. Ingekuwa wewe sio mbwiga usingepata muda wa kubishana na le mutuz
niaje arifu......mbwiga ni jina tu la kizaramo....kwetu wazaramo ni watu lege lege so ukiona waitwa mbwiga ujue ni lege lege BTW sio tusi arifu......aisee aliekuwa gavana na waziri wa fedha ni babako? aisee ndio maana mashori wa JF wanajigonga kwako arifu....
 

Acha uboya arifu. Ndo nini kuchafuliana jina wewe? Hivi utaacha lini Umbwiga we Yo Yo?
 
Last edited by a moderator:
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.

Thread za kipuuzi,nachelea "namecalling".. anyway tuyaache hayo.
Ila kuna members ambao hawajaonekana muda mrefu. Nimemkumbuka gozo
 
Last edited by a moderator:
Ukisoma threads na commends za kwenye hili jukwaa la chit chat unaweza kutapika kwa kichefuchefu, cha kushangaza wachangiaji wa humu wengi wao ni njembaz kabisa, wengi wao wakiwa ni members wa muda mrefu sana wa jf. Mods naomba mliondoe hili jukwaa kwani linatufedhehesha sana wa tz, tz tunaonekana watu wa ***** ***** tuuuu! CHIT CHAT HAIMAANISHI KUMWAGA PUMBA ZISIZO NA KICHWA WALA MIGUUU!!! PUUUUUUUUUUUHHHH

ONA ***** KAMA HUU;

"Bila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili mguu uonekane vyema". -- B
 
kupata wazo la kuwaomba mods kuondoa hili jukwa moja kwa moja na wewe ni mtu mzima lakini una akiri za kitoto,kama wewe unaona siyo hadhi yako kwa nini usibaki kwenye jukwaa la siasa?mawazo ya kijinga kabisa.
ondoa upuuzi wako bana!
 

Tatizo husomi COMMENTS unasoma COMMENDS na matege ya akili uliyonayo lazima uchefuke, afu hivi unajua kuwa huna akili!!???
 
Kweli.Mods nawaomba mtafute jinsi ya kutofautisha threads za majukwaa zisingiliane.Kuna thread nyingine zinakela
Ikizingatia JF siku hizi ushakuwa mtandao ambao watu tunasoma na wake,watoto,make ni sehemu ya habari mpya mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…