Mkiambiwa ukweli mnaomba ban, wachonganishi wakubwa
dada,huyu kaboka mchizi wala asikukondeshe,namwandalia ***** na nikimalizana naye hata panya wa nyumbani kwake hawatasalimika.Huyu masulupwete inaelekea alifukuzwa kijijini kwao kwa kumnililiyu mbuzi wa kijiji.
Sababu ya 1000000000000 kukufanya uwe kigoli wa chit chat!!!!!!!!!!!!!
Mnaondoa stress kwa kudiscuss pumbaz na ujinga ujinga!!!???? Wewe kweli ni mbumbumbu!!! Mnatufedhehesha watz na pumba zenu, hii ni internet age, pumba mnazopost hapa zinasomwa dunia nzima maskini wa mawazo wewe
umeongea ukweli au pumba tu, leo hii unamwona mtu chit chat hana maana kesho ndio huyo utajishaua kumwomba msaada jf doctor au sci&tech.
Na kwa taarifa yako jukwaa hili lilianzishwa na timu ya jf, sasa sijui tukujengee hoja kuwa kwa matusi yako ni kama unawatusi kina paw, invisible na wengineo.
hata aibu huna wewe,
umeandika pumba ngapi mpaka kuwa senior member???
Au zako huwa huzioni???
Eti internet age, pumba ngapi za nje mnazofagilia enyi wanafiki wa kileo??
asprin mpitie bishanga mje nae kuna lijamaa malaria imepanda kichwani...!
Litakiwa kufungwa sindano ya ng'ombe.
naipendatz we ni kia......ziiiiii!
Unafikiria kwa kutumia masabu......riiiiii
ulikokuja umebuuu....gi...!
Rudi ulikotoka ukajipange kwanza.
Wewe ni kaa zer....o...!
Wa kwenye gazet....i...!
Km nimekuudhi nenda polisi.
Ndio kinachonishangaza mimi, watu wazima halafu wanajiwehusha huku!! Tafuteni na punga la chit chat basi
Sina sababu ya kudis, upuuzi mnaopost hapa unasomwa dunia nzima
Pumba za chit chat hazivumiliki
Tutakupa kura zote wewe....maana ushaonesha dalili zote kuwa we ni wa Kilombero
Mnazidi kuonyesha umbumbu wenu
Mnazidi kuonyesha umbumbu wenu
Hahahaaaaa sikujua kama na wewe ni member mzuri wa chitchat.
Usijali tutakufungulia thread na kampeni tutakupigia na hautakuwa na mpinzani wala mgombea mwenza.
Yaani ni wewe tu na utapita bila kipingamizi chochote!
Yah tena bado tunaendelea kuuonyesha.
Hivi kichwa chako kina hata KB moja kweli?
yah tena bado tunaendelea kuuonyesha.
Hivi kichwa chako kina hata kb moja kweli?
Yah tena bado tunaendelea kuuonyesha.
Hivi kichwa chako kina hata KB moja kweli?
Heheee huyu ni kichaa mzoefu aiseeWe B52 kila siku nakwambia uwe unawahi kufunga geti mapema wewe hunisikii,unaona sasa wendawazimu wanatembea mpaka usiku huu..