Threads za JF

Aigoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
3,124
Reaction score
2,819
Husika na kichwa cha habar hapo juu nimekuwa nikijiuluza sana kwa nini! mada nyingi zimekuwa za kijinga jinga hasa kwenye jukwaa la MMU yani mtu anaandika thread ya kuomba ushauri mpaka msomaji unajuta kwa nini ulifungua uzi.... Nina mashaka sana kama humu kuna magreat thinker kweli... au wengine akili zao za ving'amuzi mpaka zibustiwe

Ipo siku mtu ataleta thread humu yupo na mrembo guest/lodge/room kwake wamedendeka wee, wamevuana na nguo kabisa afu atauliza nifanyeje hapa wadau niko njia panda..
Natamani ningekuwa mod wa JF
 
wanakuja.....
 
Mradi kapost jukwaa husika basi Atakuwa sahihi wenye uwezo wa kumjibu watamjibu na wasiokuwa na uwezo watapotezea Kama baadhi ya watu walivyopotezea thread Yako.
 
Mradi kapost jukwaa husika basi Atakuwa sahihi wenye uwezo wa kumjibu watamjibu na wasiokuwa na uwezo watapotezea Kama baadhi ya watu walivyopotezea thread Yako.
Nashukuru hata kwa wewe ulie comment mana hujapita kimya kama wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…