Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jan 14, 2011 #1 . MIMI SICHANGII MWENZANGU???
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Jan 15, 2011 #2 Of course Unaipotezea, Maana kuna thread nyingine kichwa cha habari kinatofautiana na contents zenyewe
Of course Unaipotezea, Maana kuna thread nyingine kichwa cha habari kinatofautiana na contents zenyewe
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Jan 15, 2011 #3 mie ningefanya ka huyu dada kwenyee picture lakini AK-47....
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,244 Reaction score 1,741 Jan 15, 2011 #4 na hii imeniboa ngoja nitoke.
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,824 Reaction score 2,264 Jan 15, 2011 #5 yeah, unaipotezea unawahi kwenye post nyingine.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Jan 15, 2011 #6 Namfyonya mtoa sredi halafu naiacha kama ilivyo.