None of the above.
Yaani Kongosho toka umeweka hio avatar, thread unazopita nashindwa kusoma nakutazama tu wewe..... Dah!
ha ha ha ha,
yule bibi wa kijijini kawa 'a romantic girl'
Natafuta maini ya mtu mmoja
niyapikie supu au rost
hahahaha..... AMEKWISHA!!! Pole zake... sijui niseme LUCKY Him!
kweli kabisa mpaka najiuliza labda ndio kaweka jinsia yake halisiaYaani Kongosho toka umeweka hio avatar, thread unazopita nashindwa kusoma nakutazama tu wewe..... Dah!
Natafuta maini ya mtu mmoja
niyapikie supu au rost
Mi nna hamu na pancrease bichi, nilitafune hivyo hivyo!
kweli kabisa mpaka najiuliza labda ndio kaweka jinsia yake halisia
Yaani Kongosho toka umeweka hio avatar, thread unazopita nashindwa kusoma nakutazama tu wewe..... Dah!