Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] povu la nini
NIKUSAHIHISHE
Penado ama mmorocco kacheza ligi 3
Pili Nitajie rekod 5 tu za King kat ya rekod zake zaid ya Laki 1 zilizovunjwa na mmoroco ili niwe mshabiki wake kuanzia sasa

Mkono mtupu haulambwi weka ushahid
Nasubiri [emoji144] [emoji144] sitak ngonjera
 
Umeongea vyema kuwa pele alitoka akaenda kwingine
Pia usisahau Pele kachukua kombe la dunia Mara 3,na ana Magoli zaid ya 1000
Yaan huyo kila kitu ka kamilisha.

Messi naye aende kwingine aka ji prove
Magoli ya zama za no offside binafs huyu Pelle ni mchezaj wa kawaida sana nyuma ya Giroud
 
Hapa mm ndio ninaposhindwa waelewa wakaanga sumu
Hivi Messi kacheza na Bayern Madrid Mwanitesa United Arsenal zoooote hzo team kaziadhibu atakavyo tena kwa uwezo binafs sasa bado hamtoshek [emoji41] [emoji41]
Kweli Binadamu wamezaliwa wanasema Kila kitu maneno maneno
 
Barcelona ni club bora HVO lazma iwe na wachezaj bora kwani ulitaka upangwe ww pembeni ya King Messi
 
Ila ameshinda copa america 3 na world cups 2,huyo ni bora mno
 
Nje ya Barcelona Messi ni wakawaida sana,mafanikio yote kayapatia Barcelona,Timu ya Taifa kamaliza kwa aibu.
 

Neno lake sio torati...
Ukizingatia hajawahi hata kupigwa tama mpirani.
 

1. Hana Champions League
2. Mstahafu, hana World Cup wala Copa America
3. Aliishia ligi ya Marekani, hakufika Ulaya
 

Hah hah hah hivyo hivyo vimechi kumi akabeba champions League, akabeba World Cup na Copa America na akaja Ulaya akauchezea mpira anavotaka...na hata akistahafu basi atakuwa katupa kila alichoagizwa kutupatia toka Mbinguni...

Nimekuja msemaji wake
 
Magoli ya zama za no offside binafs huyu Pelle ni mchezaj wa kawaida sana nyuma ya Giroud

πŸ˜€yule babu hana lolote mi huwa nawashangaa watu humu wanaomshobokea wakati hakuwa na kivutio chochote ktk mpira..kipindi hicho kama ni Messi ama Maradona wangekuwa na magoli 3000 na world cup sio chini ya 4,
 
Reactions: PNC
Hah hah hah hivyo hivyo vimechi kumi akabeba champions League, akabeba World Cup na Copa America na akaja Ulaya akauchezea mpira anavotaka...na hata akistahafu basi atakuwa katupa kila alichoagizwa kutupatia toka Mbinguni...

Nimekuja msemaji wake

Wewe nilishakusoma kitambo mambo ya mpira hujui, bali unamjua gaucho tu, wakati juzi tu siku 3 zilizopita huyo gaucho wako amekiri kuwa Messi ndie mchezaji bora wa dunia..

Alaf kitu kingine utaifa unatuponza sana baadhi yetu sisi waafrica na hasa wabongo, lau Diego Maradona Ama Leo Messi wangekuwa weusi leo hii nadhani mnaowachukiwa wawili hawa mngewakubali zaidi ya hao wengine, lakini mbali na hayo wawili hawa waliotoka taifa moja wataendelea kuwapa anxiety disorders..no way itatubidi tuwakubali tu hata kama ni white lakini haki yao lazima tuwape,

Leo 10s
Diego 10s

Sijapata kuona kama hawa tangia niletwe hapa duniani
 

Mimi nilishakuletea evidence sana tu ktk prevs thread...ila nakushangaa kila day unang'ang'ania nikupe huo ushahidi,ni ushahidi upi huo unao uhitaji?sijui huwa hufatilii post zetu ama ni ubishi tu,sasa ingia gooogle kila kitu kitakupa ukweli, pia kabla ya kupata huo ushindi potugo kwanini tulikuwa tukiwaomba records za huyo rukaruka wenu mnakimbia? Leo timu yake imeshinda chini ya mgongo wa EDER na yeye akiwa benchi ndio mnatuletea virekodi vyenu hapa hahaaa nyie watu wa ajabu sana, pamoja na hayo lkn bado saana kumfikia mfalme huyu.
 
We jamaa una ka asili ka uongo na kuto jibu maswali
Kila siku hapa mna msema Higuain hakufunga unadhani angefunga sifa zinge mwendea nan!!?
Huyo eder alivo fika finali Nusu fainali aliwapeleka yeye!!?
Infact Cr7 aliumia, hakukimbia mechi

Rekodi za Messi nnazo zijua ni kachza ligi moja na club moja tangu ana kua na kashinda vitu vingi hapo, aki bebwa na wakali wengine wa timu hiyo ambayo ni Barca (kitu ambacho si kibaya na hakimfanyi asiwe mchezaji mzuri) lakin hawezi kujiweka kwenye tabaka la watu walio shinda wakiwa na zaid ta timu moja na zaid ya aina tofaut tofaut za mashindano
 

Huyo hana tofauti na yule waziri wa habari wa Iraq kipindi cha Sadam...
 
Soma vizuri maana yangu utaielewa

πŸ™Wewe kajamaa huwa kabishi muno,waga hukubali ukweri, na lazima utie na chumvi ili inoge zaidi,, naona tu unavowakunjia ngumi kaka zako waliokufundisha mpila PNC,BLACK P,ZIROSEVENTY TWO N.K.. kaazi kwelikweli
 

Mkuu Ht mimi nishawahi kumpa ushaid tosha lkn kanajifanya eti hakajui, it's okay twendenao tu iv iv, ipo cku watamjua Mfalme ndiye nani wakat huo atakua zaidi ya leo
 
Mkuu Ht mimi nishawahi kumpa ushaid tosha lkn kanajifanya eti hakajui, it's okay twendenao tu iv iv, ipo cku watamjua Mfalme ndiye nani wakat huo atakua zaidi ya leo

Mkuu watu wa hivyo wakupuuza tu, they know Mesi yu juu ila hawampendi

King Mesi na King Diego hakuna atakae kuja kuwafunika wawili hawa, huu ndio ukweli halisi.
 
Huyo hana tofauti na yule waziri wa habari wa Iraq kipindi cha Sadam...

πŸ™Wewe kajamaa huwa kabishi muno,waga hukubali ukweri, na lazima utie na chumvi ili inoge zaidi,, naona tu unavowakunjia ngumi kaka zako waliokufundisha mpila PNC,BLACK P,ZIROSEVENTY TWO N.K.. kaazi kwelikweli
Naina msha fanya salam club hapa mna tajana majina tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…