Three ladies convicted of drug trafficking share the experience

Three ladies convicted of drug trafficking share the experience

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Aug 1, 2016
Nairobi, Kenya

Three ladies from Pakistan, Uganda and Zambia who are serving long sentences behind the bars after being convicted of drug trafficking are sharing experience of being jailed in a foreign land.

They come from different backgrounds and had gone to far lands like Peru,Turkey, China to try and earn money through drug trafficking.......

Monday Special: Away from Home

Source: Kenya CitizenTV
 
Huyo demu wa kiganda nimempenda bure. Ila dah; kifungo cha maisha too much jamani. Japo ingekuwa Indonesia au Saudia hawa wangenyongwa lakini hebu Serikali ya Kenya ifanye kitu kwa hawa watu. Inatia huzuni sana sana ...
 
kuna nyengine ya KTN niliona ilikua inasikitisha zaidi. mwanadada na mamake walipewa kifungo sababu ya kua na paspoti za kiongo wakiwa on transit hapo JKIA. sababu ya kua na paspoti za uongo wanasema iliwabidi wafanye hivyo kwani familia yao ya ki kristo ilikua inatishiwa kifo nchini mwao, walikua wanakimbia kwa nchi yoyote ya magharibi ambapo watakubalika. wanatoka Iran .... hio for me ili feel kama double injustice
 
Ndo hii hapa, ata ilikua ni ya KBC

Father mother, sisters,son all imprisoned from Iran for 8 months

Huyo mama wa ki Pakistan anatia huruma mno.

Judging from the interview they have surely learnt their lessons.. ila yule mzambia anaonekana kiburi.. [emoji2][emoji2](kidding)

Prerogative powers of Mercy Mr. President Uhuru
 
Huyo demu wa kiganda nimempenda bure. Ila dah; kifungo cha maisha too much jamani. Japo ingekuwa Indonesia au Saudia hawa wangenyongwa lakini hebu Serikali ya Kenya ifanye kitu kwa hawa watu. Inatia huzuni sana sana ...
Hamna cha nini wala nini. Walikuwa wanasafirisha sumu ya kuwaua binadamu wenzao. Waingie na kutimiza jukumu zao kwa miaka walopewa kila mmoja.Mola akiwajalia watatoka kama wametubu dhambi zao na kubadilika.

Toka lini urembo wa mwanadada ikawa kigezo cha kumuondoa lawama???
 
Watafiti wanasema "uzuri" na utanashati huweza kumpunguzia mtuhumiwa wa makosa kifungo kirefu.
 
Most of these senior ladies are vulnerable.Although their stories behind can't be made as an excuse to justify their crimes,it's clear that majority of them are manipulated.
 
Back
Top Bottom