kuna nyengine ya KTN niliona ilikua inasikitisha zaidi. mwanadada na mamake walipewa kifungo sababu ya kua na paspoti za kiongo wakiwa on transit hapo JKIA. sababu ya kua na paspoti za uongo wanasema iliwabidi wafanye hivyo kwani familia yao ya ki kristo ilikua inatishiwa kifo nchini mwao, walikua wanakimbia kwa nchi yoyote ya magharibi ambapo watakubalika. wanatoka Iran .... hio for me ili feel kama double injusticeHuyo demu wa kiganda nimempenda bure. Ila dah; kifungo cha maisha too much jamani. Japo ingekuwa Indonesia au Saudia hawa wangenyongwa lakini hebu Serikali ya Kenya ifanye kitu kwa hawa watu. Inatia huzuni sana sana ...
Na hawa si wange-seek tu asylum.Ndo hii hapa, ata ilikua ni ya KBC
Father mother, sisters,son all imprisoned from Iran for 8 months
Hamna cha nini wala nini. Walikuwa wanasafirisha sumu ya kuwaua binadamu wenzao. Waingie na kutimiza jukumu zao kwa miaka walopewa kila mmoja.Mola akiwajalia watatoka kama wametubu dhambi zao na kubadilika.Huyo demu wa kiganda nimempenda bure. Ila dah; kifungo cha maisha too much jamani. Japo ingekuwa Indonesia au Saudia hawa wangenyongwa lakini hebu Serikali ya Kenya ifanye kitu kwa hawa watu. Inatia huzuni sana sana ...
Watafiti wanasema "uzuri" na utanashati huweza kumpunguzia mtuhumiwa wa makosa kifungo kirefu.Hamna cha nini wala nini. Walikuwa wanasafirisha sumu ya kuwaua binadamu wenzao. Waingie na kutimiza jukumu zao kwa miaka walopewa kila mmoja.Mola akiwajalia watatoka kama wametubu dhambi zao na kubadilika.
Toka lini urembo wa mwanadada ikawa kigezo cha kumuondoa lawama???