It was a great day for Kenya, six gold medals!Tumeipiku SA na kushinda final medal tally
IAAF: Kenya takes six more titles as African Championships conclude in Asaba| News | iaaf.org
Another gold to end it in style! Kenya's relay teams light up
I love it when we go out there and get Nigerians humbled at their very own yard. Come on!. We are giving them a run for their populace and yet we are almost a quarter of the entire Nigerians. Sijaangalia nairaland, Pengine saa hii wanatolewa mapovu huko sana na wakenya.It was a great day for Kenya, six medals!
Kabisa jombaa. The black, the red and the green! Huu mchuano tumeushinda 'in style'!Bendera yazidi kupepea kama kawa kama Dawa.
I think they are concentrating on their disorganisation. They will come around soon. We beat them in their home turf!I love it when we go out there and get Nigerians humbled at their very own yard. Come on!. We are giving them a run for their populace and yet we are almost a quarter of the entire Nigerians. Sijaangalia nairaland, Pengine saa hii wanatolewa mapovu huko sana na wakenya.
Watakubali tu. Hao ambao walikuwa kwenye hiyo under 20 ndio wameng'aa kabisa kule Asaba, Nigeria. Very nice!Kenya has once again stamped its authority as sports superpower. This is coming immediately after Kenya again topped medal table in the IAAF World Under 20 Championship held in Finland July 2018.
Huu sasa ni uchochezi wa ngumi. Teh teh! [emoji1]What do Tanzanians do ? yaani wabongo kazi yenu ni mchezo wa mdono waswahili tupu, ati mnazushia mashindano ilhali mnajua vizuri hamna kitu mnachoweza kushinda... yote tisa kumi ni kuwa kenya tunatawala Africa π‘
As usual Mkuu, Bendera famous kama hiiKabisa jombaa. The black, the red and the green! Huu mchuano tumeushinda 'in style'!
Naona East African Countries were well represented with each bagging a medal...Ethiopia, Uganda na Burundi ila Ndugu zetu wa chipsi mayai walikuwa vijiweni wakishangilia tu.Kenya has once again stamped its authority as sports superpower. This is coming immediately after Kenya again topped medal table in the IAAF World Under 20 Championship held in Finland July 2018.
like the way Kenya in short is KEN ππ Our national anthem is the best in the worldHow the final medal table looks like.....