Thriller ya Michael Jackson yaendelea kuwa album bora zaidi duniani kwa wakati wote


Hii list yako nzima bila kumtaja prince haina maana kwa sababu ndio ilikuwa competition yake. Mwingine ni Whitney Houston maana alikuwa kama Michael Jackson wa kike talent wise ukimtoa madonna ambaye ndiye Queen of Pop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…