Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
leo anapata jeuri ya kumita Pierre hana akili mtu wa hovyo,aisee binadamu tunasahau sana tulikotoka,njia alizotumia yeye kupata hela,na mwenzake anatumia njia ya ulevi kuingiza mtonyo....Duh,kumbe alikuwa msela
Naona kama ni mstaarabu
Hivi gigy yupo aseeKama gigy money.
Leo fundi ubeche anakula vitu taratiibu