Throw Back: Ulijisikiaje ulipofanya mapenzi kwa mara ya kwanza kabisa?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Naam

Hii ni kwa wale wanaume au wanawake ambao wameshafanya mapenzi walau mara moja na kuendelea.

Najua wengine humu ni mafundi na wameshafanya mapenzi kwa mara zisizo na idadi. But cha kwanza ni cha kwanza tu.

Wewe mwanamke, siku ya sex yako ya kwanza ulijisikiaje?

Wewe mwanamume, siku ya sex yako ya kwanza ulijisikiaje?

Binafsi mimi wakati wazungu wangu wa kwanza kabisa wanatoka, nilijihisi kama hii dunia yote ni yangu... Utamu usio kifani... Yaani dah.. Hatari sana
 
Sure aisee. Yani ngoma inavyozama for the very first time, huo utamu ni balaha.

Utakaa ukiwaza tu huo utamu mwezi mzima ukiwa alone
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…