[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] jamaaaanii!!!Wewe dotcom
hii nyimbo ilitulia kwanzia melody..beat hadi lyricsBabe if u give it to me I give it to u...u know what I want....!!!
Acha tu nzuri sanaa!!!busta bwana enzi zakee!!!hii nyimbo ilitulia kwanzia melody..beat hadi lyrics
Mnoo!!! Mziki ni maisha yangu nikiwa na stress nasikiliza mziki sanaaaaa!!mpk nalala!!Unapenda sana music...
Halafu basi nyimbo nyingi za miaka ya 2008 kurudi nyuma!!Vizuri sana
Mnoo!!hata za kibongo ujue..Nyimbo za zamani nzuri sana
naupenda sana huu wimbo....
nampenda sana huyu mama.... naupenda sana wimbo wake unaitwa from me to you...
Hapana Mimi chache mnoo na sizijui tofauti na zamani enzi za kina jide,ray c ,ay,fa n.kNdio maana hata dotcom mnazipenda
Naukubali sana huu wimbo!nampenda sana huyu mama.... naupenda sana wimbo wake unaitwa from me to you...
[emoji7][emoji7]
Hii ngoma acheni kabisa, iko kwa playlist always, uipate kwenye kenwood speakers halafu chombo inasukumwa na AV Reciever bablai utaipenda!
Hii ngoma acheni kabisa, iko kwa playlist always, uipate kwenye kenwood speakers halafu chombo inasukumwa na AV Reciever bablai utaipenda!
Shukrani kwa mchochezi, nimeutafuta huu wimbo muda mrefu bila mafanikio. Hatimaye nimeupataHii ngoma acheni kabisa, iko kwa playlist always, uipate kwenye kenwood speakers halafu chombo inasukumwa na AV Reciever bablai utaipenda!