Tia acheni ubabaishaji na vyeti vya watu.

Tia acheni ubabaishaji na vyeti vya watu.

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
kuna dogo amemaliza chuo cha uhasibu dsm,mwaka jana,akawa amechukua statement of results.jana anakwenda kufuatilia cheti,anaambiwa hapa cheti ni kuanzia miaka 3 ijayo!ndio vitakuwa vimetoka!na waajiri wengi huwa hawaziamini hizi transcript.sasa hii inakuwaje?
 
mwambie dogo atulie, sie wa 2010 bado hatujapata! lakini tumeajiriwa na hzo transcript maisha yanaenda.
 
Back
Top Bottom