TIA Dar Es Salaam.

TIA Dar Es Salaam.

PAMPUXX

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
39
Reaction score
6
kuna ndugu yangu kachaguliwa kujiunga na hiki chuo,
mwenye taharifa watafungua lini anisaidie ili tujue jinsi ya kujipanga.
natanguliza shukurani.
 
siwatawaambia na nyie kila wakati mnaposti mambo yasiyo na maana
 
Jaman TIA washatoa majna ya selected aplicants?maana nliomba hpo na mpka sasa sijajua nimepangiwa wap!
 
me mwenyewe nimechaguliwa huko bt nimeajiliwa nasubiria joining kama yupo aliyepangiwa hapo tutaftane 0788161180
 
Back
Top Bottom