Nicky nicky
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 106
- 9
Ninataraji kujiunga na masomo ya postgraduate diploma in procurement and supply mwaka huu.Ombi langu ni kufahamishwa juu ya chuo kitakachonifaa kati ya Tanzania institute of accountancy au Institute of accountancy Arusha.ningependa kupata sababu za hoja zako ili nifanye uamuzi.Asante.
Inawezekana huna washauri; tofauti kati ya Post Graduate na Masters ni kuwa Masters wanafanya research/Dessertation wakati PGD hawafanyi Research / Dessertation. Nakushauri jipange ufanye Masters kama una uzoefu wa kazi wa kutosha

Mkuu, kumbukat pia sio kila mtu ana sifa yakuingia Masters bila kupitia PGD, hivyo ungemshauri kulingana shauri lake.