TIA-wanafunzi wazuiwa kufanya mitihani yao ya semister

Ingia hotelini, halafu useme,....Jamani mnaninyima pilau na kuku kwa sababu tu nimepungukiwa shs 700? Halafu utuletee jibu hapa. Acheni tabia za kulalamika!!! Unataka nani akulipie ada? it is fair?

Kwa post yako hii tu inatosha kujua we ni mtu wa aina gani...
Capacity charge na service charge.....bastard.
 
Inaonyesha una tabia za kike na hayo ndio maisha huliyochagua...maku mbena.
 
Hakuna aliyekataa ulichosema but kila kitu kina staha..
Na nchi yetu bado changa inategemea sana wasomi
Halafu pia hakuna anayeenda chuo hakijua hana pesa....ni suala ambalo kila mtu anajua.

Watanzania bado hatujafika huko uwezi kutufananisha na nchi za america na ulaya ambapo taasisi za misaada ya ada zipo nyingi

Inaonekana ili suala unalijua kutokana na uzoefu wako ambapo moja kwa moja unatumia kisa unachokijua cha kula ada sasa hapa hatumuongelei aliyekula ada maana huyo inaonekana moja kwa moja hata sifa ya kusoma higher learning hana maana hajitambui.
 
Hapana si dhamira yangu Mwanamalundi
Hoja ni msingi wa kila kitu sio kejeli.
 
Last edited by a moderator:

Hili swala ni gumu na zito sana kama unaelewa nini athari za kuzuiwa kufanya mitihani kwa wahusika. Ndo maana mfano shule za sekondari watu huvumiliwa kufanya mitihani lakini hatapata matokeo yake mpaka amalize madeni ama hatapata vyeti mpaka amalize madeni yake.

Unayetoa mifano ya migahawa na huduma zake,tafsiri ndogo tu unawaza kula period. Elimu ni future si kwa hao watakaoipata tu hata jamii pia kwa namna moja ama nyingine. Mtu anayekwamisha watu katika elimu si mzuri hata kidogo.

Mkuu vijana wenzetu wamepatwa na haya TIA mkoa gani? Tafadhali uongozi serikali ya wanafunzi wajaribu kuwanasua wenzao.
 
Mawazo mazuri na ya kimaendeleo.
Nashukuru pia kwa kugundua mawazo finyu ya baadhi ya watu ambao utafikiri hawaishi Tanzania..mi mwenyewe nmesoma kwa tabu sana mpaka sasa ivi nalijenga taifa so naelewa nini maana ya kuwa na tatizo kama ili
Naishi karibu na maeneo ya TIA dar hapa kurasini ndio nmewakuta vijana wanatafakali....
 
Tatizo la watanzania....ni uzuzu.
Sasa hapo unauliza au unakejeli au kwa vile tatizo sio lako.....ndugu yangu usiongee maneno ukamaliza..you never know..
Uwe unaongea kwa hoja sio unapayuka tu.

kama ulijua huna hela,ulifuata nin chuo?there is no such a thing like free lunch exists under the sun.
 
kama ulijua huna hela,ulifuata nin chuo?there is no such a thing like free lunch exists under the sun.

Tumia kiswahili tu maana hiyo lugha uliyotumia inaonekana bado hujaijua na elimu huna.......na hata kama unayo ni basi ya madesa......
 
kama ulijua huna hela,ulifuata nin chuo?there is no such a thing like free lunch exists under the sun.

Masikini wewe inaonyesha umekata tamaa sana....mludie mungu utapata faraja
 
halafu tuangalie pande zote mwanachuo anaweza kuacha chuo wakati wowote na wengi wanatoka mikoani hivyo wasipolipa wanaweza mpiteza
 
nnachoona hapa ni utofauti wa maisha ndo unafanya guwe na mawazo tofauti kw mtu wa maisha ya kitanzania yaani wale watoto wa wakulima hawawezi kufurahia au kukashfu kitu alichotoa muweka mada,watu wanasoma kwa shida sana hapa tanzania huyo mtu aliyesomesha watoto wake shule za milion sijui mbili sidhani kama anashindwa kumlipia mwanae ada ya chuo kama TIA ambayo ni milioni moja na laki mbili mpaka tatu kma sijakosea,lakini vipi kuhusu mzazi aliyemsomesha mtoto wake shule za serikali ambazo ada yake ni 70000(sabini elfu) kwa mwaka na bado alikuwa anashindwa kulipa hyo hada kwa wakati stahiki mnaosupport mambo anayoyafanya huyu dr pale TIA sidhani kama ni watanzania mnaoipenda tanzania kwasababu mnasashabikia swala la kwamba elimu ipewe kwa wale wenye uwezo wa kifedha tuu maskia wasio na uwezo waende wapi watawezaje kupata hyo elimu kwa mambo kama haya,eti mtu unasema kama alijua hana hela aliendaje chuo unatumia ubongo kuandika kitu kama hicho kweli nani anapenda kutokuwa na hela au kwakuwa ww unazo unahisi kila mtu anazo thats not fair,ijue tanzania na wakazi wake wote kwenye matabaka yake yote ndo mje hapa muongee vitu kama hvyo.shame on you guys tunasisitiza swala la upatikanaji wa elimu kwa kila mtu sasa kwa itaikadi za hvyo kweli itapatikna kwa wote me nnavyojua kuna watu tunadunduiza maisha yaani unatafuta kidogo kidogo mpaka hyo ada inayohitajika inakamilika sio kama watu wanayaka kusoma bureee.haya maisha ya watu sio mchezo wa kuigiza big up mkubwa #chuma cha reli
 
We unataka chuo kijiendeshe vpi pasipo pesa,na tabia ya baadh ya wanafunz wanakuwa hzo pesa kakin hawazitoi mpaka waekewe vikwazo kama hvyo ndipo atoe
 
We unataka chuo kijiendeshe vpi pasipo pesa,na tabia ya baadh ya wanafunz wanakuwa hzo pesa kakin hawazitoi mpaka waekewe vikwazo kama hvyo ndipo atoe

Hapo ndio maana chuo kinaajiri Dr ili awe na uwezo wa kuchanganua mambo....
Ndio chuo kinatakiwa kijiendeshe kwa pesa za Ada but ukweli ni kwamba idadi ya ambao hawajalipa hama kumaliza Ada sio wengi kiasi cha kuyumbisha matumizi...we have bad debt's in business.....
TIA ni chuo cha Umma ambacho still mission na vision yake sio profit na bado ruzuku inapata kutoka hazina but ni kuongeza ufanisi kwenye tasnia flani.
Kuhusu kubania pesa wakati unazo ilo ni tatizo lingine...ndio maana nikasema ni mapema kuwazuia kufanya mitihani wangesubir at least kwenye final.
Suala la kukosa ada usiongee kama halijawai kukukuta coz ni fedhea..Mimi nimesoma kwa kuunga hivo hivo wazazi kipato kidogo mpaka nmemaliza.....
Shukuru tu labda wazazi wako wana uwezo ama umepata mkopo but ili ni tatizo kwa baazi lazima walalamike...hata wewe una matatizo yako binafsi
 
Kwanza niseme sitetei upande wowote, ila baada ya maelezo yangu utanielewa
1. Utaratibu huu haujaanzishwa na dr Joseph kwani hata Hanzruni alivyokuwa hapa utaratibu ulikuwa unaendelea. Binafsi niko hapa mwaka wa pili huu semister zote zilizopita hili jambo lipo.

Kwa nini iko hivyo:
i/Wizara imeamua chuo kijiendeshe chenyewe bila ruzuku toka wizarani(idadi ya wanafunzi inakizi bajeti) hivyo basi chuo hakina budi kutumia mbinu zilizopo ili kujiendesha. Itakuwa haingii akilini kuwa una wanafunzi 2000+ kisha unamweleza mwajiri wako huna fedha za kujiendesha kisa wanafunzi hawajalipa ada ili hali hao wanafunzi wapo na wanahudhuria vipindi.
ii/ kuruhusu mwanafunzi aendelee kusoma na kufanya mitihani ilihali hajalipa ada kipindi cha nyuma ilikuwa hivyo ila madhara yake ni kwamba idadi ilikuwa kubwa na kutengeneza "free ride problem" na chuo kushindwa kujiendesha
Na nikujuze tu TIA inawezekana kikawa ndio chuo pekee cha serikali kinacho kulazimu ulipe70% ya ada ndipo ufanye mtihani wa semister 1.
2. Hili swala si la TIA pekee yake nimesoma pia chuo cha kodi-ITA kilichopo chini ya TRA pale napo kama hujalipa ada hakuna mtihani wako na ada yake kwa digrii ni 1.9 M wakati cheti na dip ni 1.5M
3. Hapa niseme ukweli mchungu si kazi ya serikali kunisomesha mimi ila ni wajibu wa wazazi wangu kwani serikali haikuwahii kuwaagiza wazazi wangu wanizae, fikiria kama hakuna serikali hatutasoma? Je nchi ambazo zimekuwa hazina serikali kama somalia hakuna waliosoma? (Nimeamua kusema hivyo kwa sababu sisi waafrika masikini tunaona fahari kuzalishana bila kujali kwamba hawa wanazaliwa watahudumiwa vipi. Tupo watoto 5+ na kipato cha wazazi kiko icu wakati tajiri utakuta ana watoto 3- na anawamudu japo kwa mbinde). Lazima mimi na wewe tubadilike kifikra kwamba si jukumu la serikali kulea watoto ila wazazi. na watoto wetu wajao watasoma bila kujali serikali ipo au haipo na tusizae kwa sifa ila kwa sababu tuna uwezo binafsi wa kuwalea hao watoto
 
Huo utaratibu hata Dr Mabula kaukuta.
Fikiria kama GT unafikiri huo utaratibu umewekwa na mkuu wa chuo Dr Mabula au bodi ya chuo chini ya Prof Jairo?
Unafahamu kabisa tabia zetu wa wanachuo wa Tz, unadhani ukiruhusu mtu afanye mtihani bila kulipa kutakuwa na "uncollected fee" kubwa kiasi gani. Kwa taarifa yako asilimia kubwa ya ambao hawalipi ada si watoto wa masikini kama unavyosema
 
Ulichoongea ni kweli...but

Hapo kwenye roman ii....utaratibu uliokuwepo kipindi cha Hanzuluni ulikuwa ni mzuri ila huyu Dr ndio amekuja kuubadilisha kwa kisingizio icho cha kujiendesha.... Kama wewe ni GT je ni rahisi mtu anayoada na asilipe apate tabu za kufanya mtihani katika mazingira yale.....

La mwisho usiongee sana coz ure still young......na believe me one day Mimi sio mungu but you will have the same problem in a different way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…