TIA-wanafunzi wazuiwa kufanya mitihani yao ya semister

Elimu ni haki ya kila mtu. Serikali ina wajibu wa kutoa huduma zajamii kwa umma na ndiyo maana inakusanya kodi. Unapolinganisha pilau na elimu napata shida kidogo na uwelwa wako. Unapolinganisha hoteli na chuo ni mwenye shibe mjinga nayeweza kufananisha vitu hivi viwili. Hoteli ni mali ya mtu binafsi ni kwa ajili ya kupata faida. Chuo ni mali ya serikali kwa maana kuwa mali ya wananchi. Mishahara na rasimali zingine hutokana na kodi za wananchi. Ni vipi sasa ulinganishe vitu vilivyotofautiana kwa uwazi jinsi hii? Ni Mungu tu aliyekuumba anayeweza kukuelewa.
Wanachosema wanachuo ni kuwa sio wasome bure, la hasha! Waruhusiwe kufanya mtihani lakini matokeo yao yazuiwe hadi watakapolipa madeni yao. Utaratibu huu sio mgeni unatumika pia na baraza la mitihani la Taifa. Cha ajabu nini kama TIA wataiga utaratibu huu. Mbona hata serikali inachelewa kutoa ruzuku kwenye ofisi zake lakini haijafunga ofisi zake.
Inawezekana wewe mwenzetu una tuhela twa EPA na baadaye ukajiongezea tena twa ESCROW, basi unaona wasio na hela hawana akili kama wewe mwenye akili za wezi na umepungukiwa uadilfu
Ingia hotelini, halafu useme,....Jamani mnaninyima pilau na kuku kwa sababu tu nimepungukiwa shs 700? Halafu utuletee jibu hapa. Acheni tabia za kulalamika!!! Unataka nani akulipie ada? it is fair?

 
wanafunzi mfahamu kuwa sisi wazazi pia tupo humu jf na vyuo tumesoma, tukiwa masters au PhD tunawaona... punguzeni matumizi yasiyo ya lazima! tunakatwa mishahara kwa kodi ili msome,mnapoongeza matumizi na starehe lazima tuwake kwani ni sisi tunagharamia ada na hata elimu ya juu ikiwa bure sisi ndo tutalipa tu; IKIWA UNAONA ELIMU NI GHALI BASI JARIBU UJINGA! ada tunalipa baadhi yenu mnazila!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…