Anafanya interview ipooze ebu nenda kamtafute umlete namkumbuka yule mdada wa siku ile sasaMuhojiwa sijui yuko where!
HubbySwali kuntu sana hili...
Hajakufanyia fair kutokutagMimi simo katika list yako ndiyo maana nimekosa swali la kumswalika [emoji39] [emoji39]
Hahahahaha rafiki mlupo wako ni upi humu??? Au mimi ndo napitwaga na habari?? At first I thought ni cha mdeko ila upepo sijui uliendaje ! Jilipue nimjuepo rafikiii [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simo kwenye list[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Riziki naona bado sijaipata naendelea kuvuta subira tuHahahahaha rafiki mlupo wako ni upi humu??? Au mimi ndo napitwaga na habari?? At first I thought ni cha mdeko ila upepo sijui uliendaje ! Jilipue nimjuepo rafikiii [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Smart911
Yes love...Hubby
Ndiyo maana nachungulia tuHajakufanyia fair kutokutag
Mkuu hii ipo sawa hii??
Sakayo / Pakawa / NAHUJA na nani vireee???😉Mkuu hii ipo sawa hii??
Naona kama imepinda kidogo inyooshe vizuri teh ???
Nachoona ni
Sky eclat / Aspirin ila Kuna Sakayo pembeni sasa sijui ikoje hii sikuhizi!!!
Mzigua90 nanani vileeee??
Joanah kama una info puliiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz weka sawa hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Cc Smart911
Nimekataliwa bana