TIB Ni kweli hii benki inatoa mikopo kwa Wakandarasi wazawa?

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,764
Reaction score
7,758
Naomba anayefaham au ambaye amewahi kupata huduma zao Tanzania Investment Bank wanatoa mikopo kwa wakandarasi wazawa?
Mashariti yao yapoje ?
Asanteni
 
Naomba anayefaham au ambaye amewahi kupata huduma zao Tanzania Investment Bank wanatoa mikopo kwa wakandarasi wazawa?
Mashariti yao yapoje ?
Asanteni
 
Namfahamu jamaa yeye analima mashamba makubwa alikopa hapo 500ml.
Vizuri ungewacheki moja kwa moja
Asante mkuu niliwacheki wanakopesha ila vigezo na mashariti ni ngumu sana kwa makampuni ya kawaida
 
Hiyo ni benki ya uwekezaji,kwa mijibu wa TIC kituo cha uwekezaji,kwa mzawa ili ufuzu lazima uwe na mtaji wenye thamani ya 300m kwa mzawa na $500,000 kwa mgeni.Kama wewe ni mdogo hawatakukatalia moja kwa moja ila watakupa moyo wa uongo.Jaribu benki ya Kilimo (TADB) wana unafuu fulani.
 
wakuu hii thread muhimu, vipi kuna mwingine aliwahi kopa hapo
Nilienda wakaniambia ninakopesheka ila ni lazima niwe Nina account yenye mda wa miezi 6 na kufungua account ya Biashara ni tzs500,000 na lazima niwe na turnover ya million 300 kwa mkopo wa million 50 maana ndio kianzio kidogo
Lakini ukweli wanataka wakopaji wakubwa kuanzia million 500.
 
TADB Wapo sehem gani wanakopesha kwa kila Mfanyabiashara au wanataka wakulima tu?
 
DSM wapo wapi TADB?
 
Nilienda wakaniambia ninakopesheka ila ni lazima niwe Nina account yenye mda wa miezi 6 na kufungua account ya Biashara ni tzs500,000 na lazima niwe na turnover ya million 300 kwa mkopo wa million 50 maana ndio kianzio kidogo
Lakini ukweli wanataka wakopaji wakubwa kuanzia million 500.
 
Asante mkuu ,nilienda TIB , wameenipa maelezo kama hayo. Wapo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…