Tiba asili ya vidonda vya tumbo na ngiri

Milonji

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
166
Reaction score
510
Habari wanajamvi wenzangu.

Leo naomba NITOE BURE dawa 2 za Magonjwa sugu ya NGIRI na VITONDA VYA TUMBO kama Zawadi yangu ya CHRISTMAS kwenu.

Dawa hizi siuzi bali tumia mazingira unayoishi kutengeneza wewe mwenyewe. Mimi ninakupatia Elimu yote ikiwa full package.

1. DAWA YA NGIRI
Hapa nazungumzia ile NGIRI ambayo hufanya KORODANI zivimbe na kuleta homa Kali.

Mahitaji.
a. Jani la Mnyonyo bichi.
b. Ugoro (Tumbaku iliyosagwa)

Jinsi ya Kufanya.
a. Chukua Jani lako la Mnyonyo likiwa bichi kabisa.

b. Lioshe vizuri kabisa.

c. Likiwa bado halijakauka Maji vizuri paka lote ugoro upande Mmoja.

c. Chukua upande wenye ugoro bandika kwenye KORODANI (zote mbili) na ufunge vizuri kwa kitambaa.

d. Ndani ya Dakika 15 - 30 utaona tumbo linaanza kukoroga kama la Kuharisha.

e. Ukiona tumbo limeanza kukoroga, toa Jani la Mnyonyo lenye ugoro, baada ya Muda mfupi utaanza Kuharisha na wakati mwingine hata kutapika.

f. Baada ya Masaa kadhaa utakuwa umepona (Hapo pia utakuwa umeacha Kuharisha na Kutapika).

NB:

Unapo bandika Jani la Mnyonyo kwenye KORODANI na kulifunga hakikisha haligusi tundu la Uume.

2. DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO.
Hapa nazungumzia VIDONDA VYA TUMBO vilivyo katika hatua ya awali.

Mahitaji
a. Asali mbichi (Isiyo chemshwa)
b. Maganda ya Ndani ya Mti wa Mjohoro

Jinsi ya Kufanya
a. Tafuta Mti wa Mjohoro na uchukue gamba lake. (Lisiwe la kwenye Mzizi)

b. Ndani ya Gamba la Mti wa Mjohoro Kuna kamba nyembamba zichune na kuzianika sehemu ambayo haina Jua. (Baada ya kuchuna kamba nyembamba gamba la miti linalobaki linaweza kutupwa)

c. Twanga kamba za Mjohoro baada ya kukauka ili upate unga.

d. Chukua unga wa Mjohoro na uchanganye na Asali mbichi.

e. Anza Kutumia mchanganyiko wako kama dawa

f. Matumizi ya mchanganyiko.

Kunywa vijiko viwili vya Chakula (Jumla kwa siku Vijiko 4) kila siku Asubuhi na Jioni. Asubuhi ½ Saa kabla ya kunywa Chai na Usiku ni ½ Saa baada ya kula.

NB:

Hii ni kwa wale ambao VIDONDA bado vipo hatua ya awali. Wale ambao VIDONDA ni Sugu wanaweza kujaribu.

Muda wa Matumizi ni siku 7 Hadi 14. UKIMALIZA Dozi tararibu unaweza Kuanza Kutumia vyakula ambavyo haviendani na VIDONDA VYA TUMBO kama Dagaa.

Ahsanteni.
 
ahsante sanaa. mjohoro ni nn
 
Sasa hiyo dawa wale wenye vidonda sugu si wanaweza tumia pia ila kwa muda mrefu labda mwezi au miezi 2 hivi mkuu ?!
 
Back
Top Bottom