Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Hii nimeikuta kwenye website fulani ila nimeshindwa kuweka link yake. Hii imesemwa baada ya madaktari zanzibar kufanya utafiti na kuona madhara ya tiba hizo za asili.
Ili kupata taarifa kamili Google hii title...."Tiba za asili za macho zasababisha upofu".
Cc😡mzizi mkavu.
Ili kupata taarifa kamili Google hii title...."Tiba za asili za macho zasababisha upofu".
Cc😡mzizi mkavu.