Tiba Asilia Hazina Tija Tena

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Nimekua nikijiuliza ni kwa nini tiba asili hazina nguvu tena

watu walijaribu mayai ya kware lakini hayakusaidia, ulikuja ubuyu, kikombe cha babu, alovera zote hazina nguvu kabisa siku hizi

sikui rozena ama hata GNLD hamna kitu utakuuunywaaaa wapi


hata haya mayai ati ya asili ama kienyeji yamebaki jina tu

ati supu ya pweza???????


hivi ni kwa nini hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…