tiba cancer ya mifupa

massawe7

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
10
Reaction score
1
wakuu, baba mzazi wa rafiki yangu anaugua cancer ya mifupa kwa muda sasa, familia wamempeleka ocean road naomba kuuliza kwa wanaojua tiba au dawa za kumsaidia atujuze
 
Ocean Road Hosp ni centre ya tiba ya cancer aina zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…