Tiba gani ambayo naweza Kutumia au kuipata ili Kupona kabisa pumu

msuya4real

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
76
Reaction score
27
Naomba nisaidiwe kama Kuna mtaalam wa Magonjwa ya mfumo wa Hewa especially (Astic case) Au Pumu,

Tiba gani ambayo naweza Kutumia au kuipata ili Kupona kabisa au Kupata nafuu Maana Kila uchwao lazima uwe na Dawa, Hali ikianza lazima utumie umeze dawa, Hasa Aminophilin, Salbutamol, au Predinisolin Tablets, Hali hii ina kama Miaka 10 sasa Ila ilikuja baada ya Kufyatua tofali kama elfu 3000,

Nimejaribu kutumia Miti shamba Ila bado Sijapata inayoweza Kunipa Ahueni
Mwenye Tatzo kama hili au anayejua mtaalamu wa Tiba ya Pumu anitafute kwa Namba 0674119763
 
Niko serious wapendwa
 
Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
mcheki pia faizafox kuna tiba aliwahi kushauri humu
 
Chukuwa kitunguu maji kikubwa,kisage kwa kutumia kisagio kile chenye vipele pele,changanya na asali,asali ya nyuki wadogo.Wacha mchanganyiko kama dakika 20,halafu chuja makapi ya kitunguu maji kwa kichujio cha chai.Kunywa huo mchanganyiko kila siku mara moja,mpaka pumu zipotee wenyewe.
 
poa
 
Mkuu mtafute Dr issaya wa hospitali ya kwa Buluba Mbagala mission kama waelekea kijichi mimi ni shuhuda wa kupona huo ugonjwa hadi hii leo nimekuwa kamanda
 
Nasikia pumu ya kupata ukubwani ni ngumu kupona tofauti ya kuzaliwa nayo
Sema Mungu ni mwema atakusaidia
Kuna dawa nimeletewa mwanangu anatumia sijajua kama itamsaidia au laah
Ni ya kunywa haina ladha mbaya,inatakiwa utapike hadi yatoke malendalenda sijui makambakamba ndio pona yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…