Tiba gani inahitajika hapa?

Tiba gani inahitajika hapa?

Stevemike

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
117
Reaction score
15
Mke wangu ni mgonjwa wa jicho. Linauma tu halitoi matongotongo ile ni jekundu kwa juu. Ametumia Gentamycine eye drop na prednisolone eye drop lakini hajapata unafuu. Tiba gani inahitajika?
 
muone specialist wa macho atakusaidia zaidi, mpe pole wife
 
Back
Top Bottom