Stevemike Senior Member Joined Mar 12, 2011 Posts 117 Reaction score 15 Dec 27, 2011 #1 Mke wangu ni mgonjwa wa jicho. Linauma tu halitoi matongotongo ile ni jekundu kwa juu. Ametumia Gentamycine eye drop na prednisolone eye drop lakini hajapata unafuu. Tiba gani inahitajika?
Mke wangu ni mgonjwa wa jicho. Linauma tu halitoi matongotongo ile ni jekundu kwa juu. Ametumia Gentamycine eye drop na prednisolone eye drop lakini hajapata unafuu. Tiba gani inahitajika?
sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 563 Reaction score 393 Dec 27, 2011 #2 muone specialist wa macho atakusaidia zaidi, mpe pole wife
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Dec 28, 2011 #3 Mwambie awe ananawa macho kwa maji ya Waridi kila wakati.